Kama ulikuwa haumfahamu mchizi aliyelamba tuzo zilizokuwa zinawaniwa na A.Y pamoja na Shaa kupitia MTV Africa Music Awards zilizotolewa Nairobi, Kenya mwishoni mwa wiki iliyopita ni huyo M.I kutoka pande za Nigeria. Tuzo aliyokuwa anawania na Shaa ni ya Msanii bora anayechipukia, huku ya A.Y ikiwa ni ya Mwana Hip Hop bora. Ishu kubwa ni kura chache zilizowaangusha wasanii wetu wa Kibongo.
Wednesday, October 14, 2009
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "ALIYELAMBA TUZO ZA A.Y, SHAA HUYU HAPA"