ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Afande na 'shosti' wake, 20 Pa
Maswahiba wawili kunako game ya muziki wa kizazi kipa, Selemani Msindi 'Afande Sele' na Hamis Shaban Kinzasa "20% au Twenty Pa' leo wameburuzwa kwa pilato huko mjini Morogoro wakidaiwa kuvamia sehemu na kusababisha vurugu.
Kwa mujibu wa mdau mmoja wa ebwanadaah aliyeko pande hizo, Afande na 'shosti' wake huyo walidakwa na polisi jana na kutupwa selo kabla hawajafikishwa mbele ya pilato leo, ambapo kesi hiyo imepigwa kalenda mpaka itakaposomwa tena siku kadhaa zijazo. Zaidi kuhusu ishu hiyo endelea kuchungulia ebwanadaah.

Wednesday, April 4, 2012 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "AFANDE SELE, 20 PA WABURUZWA KWA PILATO"

Write a comment