"Inakuwaje Bro? Japo salamu zangu zimechelewa kuwafikia kutokana na matatizo ya umeme yanayolikabili taifa siyo mbaya nikizirusha kwamba, alentine day isiwe tu kwa wapenzi, tuitumie nafasi hii wasanii wa Tanzania kushow love kwa pamoja, tuungane tuwe kitu kimoja, tushirikiane, tusaidiane pale mmoja wetu anapokwama, pia anapokosea turekebishane siyo kusemana pembeni. Na kwa waliotoka tusiwe wachoyo wa mawazo kwa wale wanaohitaji ushauri na njia katika muziki ili muziki wetu ukue, pia utambulike zaidi, lazima tuwe wamoja. Tukiendekeza matabaka hatuwezi fika," One Love.
Read More......
Wednesday, February 16, 2011
Posted in | |
0 Comments »