ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU


Kila kitu huwa kina mwanzo na mwisho wake, japo katika mapenzi inawezekana kupigana chini tena kwa maneno ya kashfa na ngumi lakini baadae mkajikuta mmerudiana. Hapa mkali wa muziki wa Bongo Flava, Jaffari Ally Mshamu a.k.a Jaffarai alipokuwa katika uhuisiano mzuri na aliyekuwa mpenzi wake, Shyrose Bhanji kabla mchizi hajaamua kusalimu amri wiki hii huku akirusha 'mawe' kwa Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kuwa ndiye aliyevunja uhusiano wao kwa kutoka na Shyrose.

Sunday, February 6, 2011 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "JAFFARAI NA SHYROSE BHANJI KABLA HAWAJAMWAGANA"

Write a comment