ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Phillbert Kabago, mtangazaji wa redio Passion FM, Mwanza na msanii wa muziki wa kizazi kipya

"Inakuwaje Bro? Japo salamu zangu zimechelewa kuwafikia kutokana na matatizo ya umeme yanayolikabili taifa siyo mbaya nikizirusha kwamba, alentine day isiwe tu kwa wapenzi, tuitumie nafasi hii wasanii wa Tanzania kushow love kwa pamoja, tuungane tuwe kitu kimoja, tushirikiane, tusaidiane pale mmoja wetu anapokwama, pia anapokosea turekebishane siyo kusemana pembeni. Na kwa waliotoka tusiwe wachoyo wa mawazo kwa wale wanaohitaji ushauri na njia katika muziki ili muziki wetu ukue, pia utambulike zaidi, lazima tuwe wamoja. Tukiendekeza matabaka hatuwezi fika," One Love.

Wednesday, February 16, 2011 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "SALAMU ZA VALENTINE KUTOKA KWA KABAGO"

Write a comment