Kutoka Block 41, KInondoni, Dar ilipo kambi ya 'Kikosi cha Mizinga', kiongozi wa umoja huo, Kalama Masoud 'Kalapina' yuko tayari kwa utambulisho wa albamu yake mpya, 'Nyimbo Tosha' utakaochukua nafasi ndani ya Club Maisha, Machi 26 mwaka huu. "Natarajia kupewa sapoti na wasanii kama Madee, A.Y, FA, THT na wengine kibao wakiwemo Ukoo flani kutoka Kenya na Black T kutoka Rwanda," alisema na ebwanadaah.
Monday, March 21, 2011
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "KALAPINA YUKO TAYARI KWA UTAMBULISHO"