ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Adamu wa Visuala Lab akiongoza zoezi
Bosi Ruge akimuelekeza kitu Adam
Wasanii wakiendelea kurekodiwa
Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya zaidi ya 30 jana walikuwa 'tait' wakirekodi video ya wimbo waliyorekodi kwa ajili ya sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Bongo ambazo hufanyika kila mwaka, Desemba 9.

Wednesday, May 18, 2011 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "WASANII WAFANYA KITU MIAKA 50 YA UHURU"

Write a comment