ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Kutoka pande za Mwanza Mwanza, msanii na mtangazaji wa redio, Phiribert Kabago ameanza kuonekana luningani ni video ya ngoma yake, Umeme wa Mgao iliyosimamiwa korasi na mwanadada Farida.
Kazi imefanyika chini ya Kinye Media ya Mwanza chini ya mtayarishaji Kinye. Lokesheni kama Igoma ilipo mitambo ya Tanesko imetumika zaidi kwenye kioo hicho li kuleta uhalisia, yakiwemo matukio yanaoowaonesha baadhi ya Wabongo waliyopata matatizo kutokana na kukithiri kwa mgao wa umeme. Big Up kijana kwa kuipigania jamii iliyokuzunuka.

Monday, June 6, 2011 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "KABAGO KIDEONI NA UMEME WA MGAO"

Write a comment