Msanii Khadija Shaban ‘K-Sher’ a.k.a Mama Jamkay ametambulisha ngoma mpya yenye jina la 'Hamu' ukimshirikisha Marlaw akimaanisha kwamba baada ya kimya kirefu a.k.a likizo ya uzazi sasa anarudi tena sanaani ili kuendeleza pale alipoishia wakati anafanya vizuri na nyimbo kama Uvumilivu na Tunda. Binafsi huwa nazikubali kazi zake ni nimeipokea kwa mikono miwili traki hii itakayofuatiwa na video yake, wewe je?
Monday, June 6, 2011
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "K-SHER NA NGOMA MPYA, MTOTO MPYA"