Katika kuonesha kwamba bado anaisimamia vyema sanaa yake, Dudubaya a.k.a Godfrey Tumaini amerudi na kioo kipya (video) huku akiwa bado amepiga kambi Kanda ya Ziwa akisikilizia michongo. Kuhusiana na ishu yake ya kutupwa selo huko pande za Geita, Mwanza ntamtafuta ili aweke kila kitu wazi kupitia hapa ebwanadaah.
Monday, June 6, 2011
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "DUDU BADO ANAKOMAA NA GAME"