Mpango mzima wa pati hii ya video mpya ya Temba na Chegge ulichukua nafasi pande za Mikocheni kwa Felisian Mutta
KAMATA MWIIIIZI MEEEEEEEEN!
Juzi kati vijana wawili kutoka TMK Wanaume Family, Temba na Chegge walikuwa taiti wakigonga video ya ngoma yao mpya, 'Kama ni Gangstar' waliyompa shavu Ferooz. Zoezi lilichukua nafasi pande za Mikocheni kwenye hekalu la Mzee Felisian Mutta na kuwahusisha mastaa na warembo kibao wa Kibongo, huku Adamu Juma wa Visualab akihusika kutengeneza mzigo huo. Kazi inatarajiwa kwenda hewani siku chache zijazo. Kaa mkao wa kula.

Saturday, June 18, 2011
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "CHEGGE, TEMBA, FEROOZ WANAKUJA HIVI TENA"