Bi. Kidude
Mkongwe za muziki wa taarabu pande za Zenji, Kidude Binti Mbaraka a.k.a Bi. Kidude leo amekanusha vikali uvumi ulionea kwamba amefariki dunia.
Akikanusha kwa mbwembwe zote, Bi. Kidude alisema kwamba yeye bado yuko hai na nguvu za kutosha, isipokuwa alikuwa akisumbuliwa na homa ya kawaida na kulazimika kutundikiwa dripu ya maji, lakini sasa afya yake imetengemaa.
Kutoka Ebwanadaah: Jamani Wabongo wenzangu, haya mambo ya kusambaza taarifa ambazo hatuna uhakika nazo siyo fresh, ipo siku itatukosti. Zaidi tuendelee kumuombea bibi yetu azidi kuwa na afya njema.
Read More......
Wednesday, October 26, 2011
Posted in | |
1 Comments »