Mambo vipi?
Jackson Makini aka CMB PREZZO kutoka nchini Kenya amedondosha kazi mpya 4 SHO 4 SHIZZY aliyomshirikisha Producer wa ngoma hiyo ULOPA kutoka katika studio ya SAMAWATI ya Jijini Nairobi Kenya,Video ya kazi hii ameshoot na kampuni ya BOOMBA Video inatarajiwa kutoka baada ya wiki mbili katika vituo vyote vya Tv Africa nzima:
Pamoja sana
Ambwene Yessayah (AY)
Tuesday, October 25, 2011
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "PREZZO AIBUKA"