Enzi za uhai wake
Baada ya kuuawa
Taarifa zilizoifikia Ebwanadaah hivi punde kutoka kunako televsheni za kimataifa zinasema kwamba aliyekuwa Rais wa Libya, Muhamar Gadaffi ameuawa na majeshi ya waasi kama inavyoonekana pichani. Mengi zaidi kuhusu kifo chake endelea kucheki na blog hii.
Thursday, October 20, 2011
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "BREAKING NEWS; GADAFFI WA LIBYA AUAWA"