ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Hii ni moja kati ya shoo zao huko Botwana
Mmoja wa waimbaji na dansa wa kundi hilo
Dikakapa waliposhuka Airport Juzi alfajiri

Kundi lingine maarufu la muziki wa asili kutoka Botswana, Dikakapa limedondoka Bongo juzi alfajiri kwa ajili ya shoo za kutosha, huku likitamba kuwa litafanya maajabu na ikiwezekana kuwapoteza Makhirikhiri waliowahi kuja TZ na kupiga shoo zaidi ya miezi kadhaa.

Wednesday, October 12, 2011 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "DIKAKAPA KUWAPOTEZA MAKHIRIKHIRI?"

Write a comment