Mkali wa dancehall kutoka pande za Marekani, Sean Kingston jana usiku alimaliza kibarua kilichomleta Bongo kwa kuangusha burudani ya ukweli pale Diamond Jubilee. Kama haukuwepo pande zile utakuwa umekosa burudani nzuri iliyowarusha mashabiki kibao. Lakini siyo mbaya, huenda siku nyingine akaalikwa tena Bongo.
Sunday, May 16, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "SEAN KINGSTON AMALIZA KIBARUA CHAKE BONGO"