Mratibu wa mpambano huo katika pozi
Kinyang'anyiro cha kumsaka mrembo wa Kilimanjaro 2010 kiko njia moja, zaidi wa warembo tisa (pichani) wanatarajiwa kupanda stejini Juni 11, mwaka huu kwa ajili ya kumtafuta mshindi atakayeuwakilisha mkoa huo kwenye fainali za Miss Tanzania. Ili kujua wapi na lini mpambano huu utafanyika endelea kufuatilia blog hii ya kijanja.
Sunday, May 2, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "WAREMBO KILIMANJARO WAKO FULL, KAA TAYARI"