"Noma kweli, baba yangu amefariki, msiba uko Kinyerezi, Dar. Kwa yeyote atakayependa kuja, anashuka gereji, pembeni kuna duka la mbao akifika hapo anauliza kwa Zay B. Tunasafirisha leo kwenda Iringa kwa mazishi, kesho Jumatatu tutarudi kwasababu msiba utaendelea kuwa Kinyerezi," alisema Zay B kupitia ujumbe mfupi wa maandishi.
Sunday, May 2, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "ZAY B AONDOKEWA NA BABA YAKE MPENDWA"