Hapa tukisabahiana, kanizidi urefu kidogo tu, siyo sanaLeo asubuhi staa wa basketball kule kwa Obama na duniani kwa ujumla, Hasheem Thabeet Manka aliibuka ofisini kwetu kwa ajili ya kutupa Hi na shukrani za pekee kwa sapoti tuliyompa na tunayoendelea kumpa hadi kufikia hapo alipo hii leo. Mimi pia nilipiga naye stori mbili tatu tukakumbushana enzi zile alipokuwa anapiga shoo za Bongo Flava. Tumetoka mbali jamani.
Friday, April 23, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "USO KWA USO NA HASHEEM"