J. Martins alipodondoka BongoHapa akishoo lavu na A.Y (kushoto) pamoja na mdau (katikati)J Martins stejini
Mchizi kutoka pande za Nigeria, J. Martins anayeendelea kufanya maajabu kunako game ya muziki kupitia ngoma zake kadhaa ikiwemo Iva jana usiku alimaliza kazi iliyomleta Bongo kwa kuangusha burudani ya ukweli ndani ya ukumbi uliyopo kwenye mjengo mpya wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zain uliyopo mitaa ya Moroko, Dar.
Tuesday, April 20, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "J. MARTINS AMALIZA KAZI ILIYOMLETA BONGO"