ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU


Kutoka pande za Arusha msanii wa mzuiki wa Injili, Steven Wambura 'Pastor Wambura' ametoka tena, hivi sasa akiwa na kazi yenye jina la Roho ya Bwana.
"Wimbo huu ndiyo utabeba jina la albamu yangu mpya ambayo tayari imekamilika ikiwa na jumla ya nyimbo nane," alisema Wambura alipoongea na ebwanadah juzi kati.
Albamu ya kwanza ya Wambura ilitoka mwaka jana ikiwa na jina la Bwana ndiye Bwana, wimbo ambao ulifanya vizuri na kumtambulisha vyema katika sanaa hiyo.

Friday, April 16, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "PASTOR WAMBURA ATOKA TENA"

Write a comment