KUMBUKUMBU
Leo Ijumaa, Desemba 18, 2009 ni mwaka mmoja tangu
Mama yetu mpendwa LIDYA ANANIA YESSAYAH
alipotutoka ghafla hapa Duniani na
kutuachia pengo lisilozibika katika Familia.
Japokuwa haupo nasi hapa duniani lakini
tupo nawe Kiroho kwa kuendeleza mema yote uliyotufundisha na
kutuasa.Tunakukumbuka kwa Upendo,
Busara na Ukarimu uliokuwa nao kwa familia na marafiki.
Daima unakumbukwa sana na watoto wakoLeo Ijumaa, Desemba 18, 2009 ni mwaka mmoja tangu
Mama yetu mpendwa LIDYA ANANIA YESSAYAH
alipotutoka ghafla hapa Duniani na
kutuachia pengo lisilozibika katika Familia.
Japokuwa haupo nasi hapa duniani lakini
tupo nawe Kiroho kwa kuendeleza mema yote uliyotufundisha na
kutuasa.Tunakukumbuka kwa Upendo,
Busara na Ukarimu uliokuwa nao kwa familia na marafiki.
wapendwa John, Summa, Ambwene na
Mage..Unakumbukwa na Baba yako, ndugu
zako, washarika, majirani, jamaa na
marafiki zako wote.
MSHUKURUNI BWANA KWA KUWA NI MWEMA KWA
MAANA FADHILA ZAKE NI ZA MILELE.
(Ufunuo 14:13)
Mage..Unakumbukwa na Baba yako, ndugu
zako, washarika, majirani, jamaa na
marafiki zako wote.
MSHUKURUNI BWANA KWA KUWA NI MWEMA KWA
MAANA FADHILA ZAKE NI ZA MILELE.
(Ufunuo 14:13)
Friday, December 18, 2009
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "MWAKA MMOJA KIFO CHA MAMA'KE A.Y"