Jumamosi moja iliyopita, majira ya mchana nilimtoa out baby wangu, Brian kwenye tamasha moja maalum kwa ajili yao (Baby Canival) lililoandaliwa na Kampuni ya MultChoice kwenye viwanja vyao vilivyopo pande za Oysterbay. Huko nilikutana na Eliza tukabadilishana mawili matatu ikiwemo kumpa big up kwa hatua aliyofikia ndani ya mjengo wa BBA Revolution.
Monday, December 28, 2009
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "USO KWA USO NA ELIZA WA BBA"