ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Siku kadhaa baada ya Yusuf Mlela kuibuka na ushindi wa Ijumaa Sexiest Bachelor, nilikutana naye na kugonga photo za kumbukumbu, huku picha zake nyingine tukizitumia katika magazeti yetu ikiwa ni ahadi tuliyomuahidi ya kumtangaza kama mshindi mpaka atakapolivua taji hilo.

Monday, December 28, 2009 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "SIKU CHACHE BAADA YA USHINDI"

Write a comment