ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Benja katika pozi tofauti


Kutoka ndani ya Kundi la mambo Jambo, kijana Benjamini Busungwi a.k.a Benja wa Mambo Jambo katoka tena kivyake, hivi sasa akiwa amesimama na AT wa 'Nipigie' katika ngoma yake mpya yenye jina la 'Nimefulia'.
Akipiga stori na ebwanadaah Benja alisema kwamba, ngoma imefanyika Mzuka Records, pandeza Bahari Beach, Dar essalaam. Ni kazi ambayo ameigonga kivingine ndiyo maana iko juu ile mbaya.

Saturday, January 30, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "BENJA ALIYEFULIA HUYU HAPA"

Write a comment