ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU












Hizi ni baadhi ya picha zinazopatikana ndani ya video ya ngoma ya Mambo Bado ya kwake Chegge featureling Lady Jaydee.





Nani asiyefahamu kwamba mtoto wa Mama Said, Chegge Chigunda kutoka Kiumeni hivi sasa yuko hewani na ngoma mpya? Naweza kusema mwaka huu umeanza poa kwake kwaku kazi hiyo yenye jina la Mambo Bado iliyompa shavu Lady Jaydee inakimbiza mbaya kunako luninga na redio. Big Kijana kwa kazi nzuri.




Saturday, January 30, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "NI ZAMU YA CHEGGE NA MAMBO BADO"

Write a comment