ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU


Tulianzia Shoprite, kununua vitu viwili vitatu
Kisha tukawasili katika fukwe za Coco Beach
Kilichofuata ni full kuogelea


Washikaji zangu wengi wa karibu wametaka kufahamu siku ya mwaka mpya nilikuwa wapi, kiukweli mimi nilikuwa bize zaidi na familia.

Tuesday, January 5, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "HAPPY NEW YEAR NA WANANGU"

Write a comment