Hatimaye kipindi cha likizo kwa madenti wengi kimemalizika na kinachofuata ni wazazi kuumiza vichwa watoto wao watarudije shule wakati sikukuu zimekata mkwanja wote. Mimi namshukuru God kwa kuniwezesha kumpiga pamba za school kid wangu na kulipa ada za hapa na pale. Masomo mema my baby, Brian endelea kukaza buti class.
Sunday, January 10, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "MSIMU WA KU-GO BACK 2 SCHOOL UMEFIKA"