About Me
MC Logo
PHOTOS
SHOW BIZ HITZ
BONGO HITZ
OLD SCHOOL FLAVA
Blog Archive
-
▼
2010
(208)
-
▼
December
(19)
- No title
- VIDEO ILIYOKUWA INASUBIRIWA KWA HAMU HII HAPA
- HABARI ZENU BANA, MWAKA MPYA MAMBO MAPYA
- MERRY CHRISTMAS HOMMIE
- POLE SANA D ZONGA
- GASNIZZO ATUMA SALAMU KWA BLUE
- MAKHIRIKHIRI TENA! SISI JE?
- Kutoka kwa mdau na 'katunisti' wa siku nyingi, Fad...
- SEMHANDO WA TWANGA AFARIKI DUNIA
- MEMBA WA BWV AFARIKI DUNIA
- UNAIKUMBUKA HII YA RAY C?
- MUZIKI BILA SHOO SIYO
- MAZOEZI KABLA YA SHOO MUHIMU
- NGOMA YA RAIS MUSEVEN HII HAPA
- HUYU NDIYE MO CHEDDAH WA NIGERIA ALIYECHUKUA TUZO ...
- ZALI LINGINE KWA BERRY BLACK
- AKUDO IMPACT YABADILI UONGOZI, KANAL TOP NDANI
- WALTER, ADE WALIVYOMEREMETA
- UZINDUZI WA CAPITAL REDIO MWANZA
-
▼
December
(19)
G5 WORLD
ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU
Baada ya kukaa nje ya sanaa ya muziki kwa takribani miaka 8 nimeamua kurudi tena ili kuiongezea nguvu game yetu nikiwa na new idea. Kwa kuanza nimefanikiwa kurekodi ngoma mbili, Historia na Hadithi zote zikiwa zinasikika kupitia vituo kadhaa vya redio, huku moja (Hadithi) ikiwa tayari imefanyiwa video ambayo itaanza kuruka hivi karibuni ikiwa ni zawadi ya mwaka mpya wa 2011. Mbali na kumpa shavu Zuhura katika ngoma hizo pia ndani ya Hadithi nimejaribu kuibua vipaji vya watoto kwa kuwapa nafasi ya kuimba kwenye koras. So wewe kama mdau na mpenzi wa burudani natumai utanipokea kwa mikono miwili. Video itadondoka hapa siku chache zijazo. KWA PAMOJA TUTAUFANYA MUZIKI WETU UVUKE MIPAKA NA KWENDA MBALI ZAIDI.
"Hi mkumbwa me niko pao ile mbaya. Salamu hizi zimfikie Mr Blue na Mashalobalo wote
sasa ni muda wa Gasnizzo mtalam wa mapozi kuja kuwashika.Tayari nimeshafanya wimbo unaokwenda kwa jina la 'Sometimes' huku ngoma nyingine yenye jina la 'Dedication' ikiwa jikoni. Ni nyimbo ambazo nazikubali na mashabiki wangu wengi pia wameanza kunielewa."
Read More......Bendi ya muziki wa dansi, Akudo Impact imejiandaa kuukabili mwaka 2011 kwa kuimarisha safu ya uongozi na baadhi ya mabadiliko ambayo yatawafanya kusimama vyema kwa msimu ujao.
Akipiga stori na ebwanadaah juzi, George J. Kyatika ambaye ni afisa uhusiano mpya wa bendi hiyo alisema kwamba AKUDO ni moja ya bendi za muziki wa dansi nchini ambazo zimefanikiwa na kuweka historia ya kipekee katika nyanja ya burudani. Kwa kutambua hilo juhudi binafsi zinafanyika kuhakikisha heshima hiyo haitoweki wala kupungua bali kukuzwa na kuongezeka maradufu.
"Tayari tumejipanga upya kuja na albamu nyingine iliyosheheni nyimbo zitakazosisimua na kuwagusa vilivyo wapenzi na mashabiki wa muziki. Baada ya kusema hayo naomba niitambulishe safu nyingine ya uongozi ambayo ni ndugu Gabriel J. Kisanga ambaye ni Meneja Masoko. Pia nawafahamisha kuwa rapa wetu Canal Top amerudi nyumbani, baada ya kusemwa mengi kuhusu kuhama kwake" alisema George.
Ifuatanyo chini ni ratiba ya shoo za Akudo Impact kwa mwezi huu wa Desemba.
11/12 JUMAMOSI KIGAMBONI
12/12 JUMAPILI MSASANI BEACH
17/12 IJUMAA MANGO GARDEN
18/12 JUMAMOSI FK KIMARA TEMBONI
19/12 JUMAPILI MSASANI
24/12 IJUMAA VIGAE CLASSIC
25/12 JUMAMOSI MSASANI BEACH
26/12 JUMAPILI MSASANI BEACH
29/12 JUMATANO CLUB SUNSIRO
31/12 IJUMAA MANGO GARDEN
KARIBU SANA
JE, WEWE NI MJANJA?
UNAJUA KUDANSI?
SHOUT OUT !!
Followers
My Blog List
-
-
-
-
SIMBA SC. YAWEKA SOKONI MAJI YAKE!8 years ago
-
-
HARD PRICE COMING SOON10 years ago
-
-
-
Aslay Akifanya Vitu vyake13 years ago
-
-
-
-