ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU



Baada ya kusafiri na kupiga shoo kadhaa katika nchi za Dubai na kwingineko, zali limeendelea kumdondokea Berry Black. Siku chache zijazo atashuka nchini Ujerumani na kuangusha shoo kadhaa.

Friday, December 10, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "ZALI LINGINE KWA BERRY BLACK"

Write a comment