ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Mpiga drum wa Bendi ya African Stars 'Twanga Pepepta', Abuu Semhando 'Baba Diana' amefariki dunia usiku wa kumkia leo baada ya kugongwa na gari akiwa kwenye pikipiki maeneo ya Mbezi Africana, Dar es Salaam alipokuwa akitoka kwenye onesho la bendi yake lililofanyika mitaa hiyo.

Friday, December 17, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "SEMHANDO WA TWANGA AFARIKI DUNIA"

Write a comment