Gasnizzo msanii chipukizi anayehisi kafanana na Blue kisura na muonekano
Blue orijino
"Hi mkumbwa me niko pao ile mbaya. Salamu hizi zimfikie Mr Blue na Mashalobalo wote
sasa ni muda wa Gasnizzo mtalam wa mapozi kuja kuwashika.Tayari nimeshafanya wimbo unaokwenda kwa jina la 'Sometimes' huku ngoma nyingine yenye jina la 'Dedication' ikiwa jikoni. Ni nyimbo ambazo nazikubali na mashabiki wangu wengi pia wameanza kunielewa."
Sunday, December 19, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "GASNIZZO ATUMA SALAMU KWA BLUE"