Ikafika zamu ya kugonga video, hapa nikiwa na Dir. Malcom akimaliza 'editing'
Hawa ndiyo warembo waliyoipamba video hiyo ya ngoma ya Hadithi
Baada ya kukaa nje ya sanaa ya muziki kwa takribani miaka 8 nimeamua kurudi tena ili kuiongezea nguvu game yetu nikiwa na new idea. Kwa kuanza nimefanikiwa kurekodi ngoma mbili, Historia na Hadithi zote zikiwa zinasikika kupitia vituo kadhaa vya redio, huku moja (Hadithi) ikiwa tayari imefanyiwa video ambayo itaanza kuruka hivi karibuni ikiwa ni zawadi ya mwaka mpya wa 2011. Mbali na kumpa shavu Zuhura katika ngoma hizo pia ndani ya Hadithi nimejaribu kuibua vipaji vya watoto kwa kuwapa nafasi ya kuimba kwenye koras. So wewe kama mdau na mpenzi wa burudani natumai utanipokea kwa mikono miwili. Video itadondoka hapa siku chache zijazo. KWA PAMOJA TUTAUFANYA MUZIKI WETU UVUKE MIPAKA NA KWENDA MBALI ZAIDI.

Monday, December 27, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "HABARI ZENU BANA, MWAKA MPYA MAMBO MAPYA"