Walter na mkewe, Ade
Kitu cha Ndafu
Bwana harusi akiwalisha wakwe ndafu
Madada na Makaka wa bwana harusi walipopeleka zawadi
Godwin Gondwe 'Double G' aliongeza sherehe nzima
Maharusi wakifungua muziki
Mara wote tukaingia kati
Dada wa Bw. Harusi, Jessica "Sweetie' akichukua picha kwa simu
Shoo iliendelea
Mimi na bibi harusi
Sweetie katika pozi
Mimi (kulia) Bw. Harusi na Clarence
Jana ilikuwa ni siku ya furaha kwa rafiki yangu mpendwa, Walter Rumisha na mkewe, Ade baada ya kufunga ndoa katika Kanisa la Azania Front na kufuatiwa na sherehe ya nguvu iliyofanyika ndani ya Ukumbi wa Lion Hotel, Sinza, Dar es Salaam. Hongereni sana, nawatakia maisha mema ya ndoa.
Sunday, December 5, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "WALTER, ADE WALIVYOMEREMETA"