ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Ilikuwa ni siku ya furaha kwa kila Mbongo aliyejitokeza kumpokea dada yetu Eliza aliyetuwakilisha vyema kwenye mjengo wa BBA Revolution japo ametolewa kabla ya kuufikia ubingwa. Hapa mwana blog mwenzangu, mfanyakazi mwenzangu na Mwandishi wa Stori za Big Brother kunako magazeti ya Kampuni ya Gklobal Publishers Hamida Hassani a.k.a Sista Doi au 'B' akipozi na Eliza muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Mwali Julius Nyerere Juzi J'5. Ishu zaidi tembelea ndani ya blog yake, www.sisterdoi.blogspot.com.

Friday, November 13, 2009 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "SISTA DOI, ELIZA FULL HAPPY"

Write a comment