ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

"Tunatarajia kufanya shoo ya nguvu maalum kwa vunja jungu Agosti 6 mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Chuo cha Sanaa Bagamoyo. Ni Habari ndiyo hiyo A.Y na MwanaFA live ndani ya Bagamoyo," ni kauli kutoka kwa wakali hao wa Bongo Flava walipopiga stori na ebwanadaah.

Sunday, August 1, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "FA, A.Y KUDONDOKA BAGAMOYO"

Write a comment