ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

"Kwa mwaka huu A.Y alianza kunyakua Tuzo ya Chaguo la Teneez ya Kenya, Kili Awards ya Tanzania na Museke Awards ya Ghana. Mwaka huu ni moto chini, sidhani kama kuna artist wa Bongo aliyekuwa nominee kwa awards za nchi tofauti na kushinda tuzo...Sasa A.Y amechaguliwa katika fainali za Tuzo za Ufaransa zilizopewa jina la Redio France Internationale Discoveries Awards 2010 (Rfi Prix Decouvertes 2010) zitakazotolewa Septemba mwaka huu ndani ya Paris. A.Y anawaomba Watanzania wote kumpigia kura za kutosha ili aweze/tuweze kushinda tuzo hizo. Unaweza kupiga kura yako kupitia www.rfimusique.com. PAMOJA SANA".

Sunday, August 22, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "MESEJI KUTOKA KWA A.Y"

Write a comment