ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU


Baba mzazi wa msanii Joseph Gabriel Rushau 'Bw. Misosi', Gariel Rushahu aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana kwenye Hospitali ya Regency, Dar anatajia kuzikwa kesho Jumamosi kwenye makaburi yaliyopo maeneo ya Kinyerezi Kibaga ambako ndiko uliko msiba.
Akipiga stori na ebwanadaah jana, Misosi alisema kwamba kila kitu kuhusu mazishi kimeshakamilika kinachosubiriwa ni baadhi ya ndugu ambao wanatarajia kuwasili leo. MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMINA

Thursday, January 27, 2011 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "BAAKE BWANA MISOSI KUZIKWA KESHO"

Write a comment