ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU


"Inakuaje kaka, nimeachia ngoma mpya inakwenda kwa jina la 'Moyo wa Subira', nimegonga na Mona Ganstar ambaye ni prodyuza wa Belle 9. Video yake nafanya Jumapili ya leo na Erly wa ShowBizz, nategemea sapoti kutoka kwako. Linex Sunday Mjeda. 1 blood".

Sunday, January 23, 2011 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "UJIO MPYA WA LINEX"

Write a comment