Ilikuwa ni huzuni kubwa mwishoni mwa wiki iliyopita wakati mfanyakazi mwenzangu Imeld Mtema alipofiwa na mwanaye Precious na mazishi kufanyika katika makaburi yaliyopo maeneo ya Ukonga, Mombasa, Dar. Pichani Imelda (katikati) akisaidiwa kutembea na Mumewe, Dickson pamoja na rafiki yake kipenzi, Tekla (kushoto).
Tukipata chakula cha mchana kabla ya kuaga mwili marehemu
Lilifuata zoezi la kuaga kisha tukaelekea makaburini
Hapa mazishi yakiendelea
Nilipata nafasi ya kuweka shada la maua kwa niaba ya uongozi wa kampuni yetu na wafanyakazi ambao tuko ofisi moja na Imelda.
Mwisho nilipiga picha ya pamoja na wafiwa juu ya kaburi kwa ajili ya kumbukumbu. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Tuesday, January 18, 2011
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "POLE SANA DADA IMELDA NA FAMILIA YAKO"