"Sisi ni FBG, wana Hip Hop toka Chuga Chuga (Arusha) tunafungua mwaka 2011 na concious joint kuelezea hali halisi ya taifa le2 na maisha ya mtaa yanavotupelekesha huku viongozi wanafuja fedha za mlipa kodi. Ngoma yetu mpya inakwenda kwa jina la 'Inaniuma kwa roho', imerekodiwa pande za Noizmekah S2dio Arachuga na harakati za kushoot video yake zinaendelea. Pia tunamalizia tape yetu tutakayoitoa "FREE" ambayo itakwenda kwa jina la "codemixxing", collection hiyo itajumuisha pia wimbo huu na nyingine kibao, kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mashabiki wategemee vibe za kumwaga".
Tuesday, January 25, 2011
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "FBG WA CHUGA CHUGA NA NGOMA MPYA"