"Tuna furaha sana kwa wewe kama mdau wetu kuusoma na kuufanyia kazi wimbo wetu mpya unaokwenda kwa jina la 'Mazingira yetu'. Huu ni mmoja kati ya nyimbo ambazo zinakamilisha mipango yetu na kuifanya TMK MAJITA kuwa katika msimamo na kuzidi kusonga mbele. Kama una maoni au ushahuri unaweza kutucheki kwa namba +255767 685 515"
USIKILIZE WIMBO WAO HAPO KUSHOTO (ShowBiz Hitz).
Sunday, January 23, 2011
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "TMK MAJITA KWA MARA NYINGINE"