About Me
MC Logo
PHOTOS
SHOW BIZ HITZ
BONGO HITZ
OLD SCHOOL FLAVA
Blog Archive
-
▼
2011
(71)
-
▼
April
(15)
- MTOTO WA KITAA ATIMIZA MIAKA KADHAA
- MISHE MISHE ZINAENDELEA
- PASAKA NJEMA PEOPLE
- Q JAY AWAFUATA KINA K-BASIL KWENYE WOKOVU
- W'KEND NJEMA PEOPLE
- UJIO MPYA WA BELLE 9
- VIDEO MPYA YA SAJNA FT LINAH
- HEMED AIPIGA CHINI SANAA YA MUVI
- BONGO FLAVA KUKIPIGA MWANZA KESHO
- WAPI KALI P?
- AT AVUTA JIKO ZENJI
- NURUEL ARUDI KWA BANANA
- NURUEL ARUDI KWA BANANA
- NURUEL ARUDI KWA BANANA
- NURUEL ARUDI KWA BANANA
-
▼
April
(15)
G5 WORLD
ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU
Tukiwa tunaelekea kwenye kusheherekea Sikukuu ya Pasaka kesho Jumapili, siyo mbaya tukitakiana 'Easter' njema huku tukikumbuka mateso na kifo cha Yesu Kristo Msalabani. Kupitia hilo wewe Mkristo umejifunza nini? Ebwanadaah iko na wewe kwenye siku hiyo muhimu, inakuomba usheherekee kwa amani huku ukikumbuka kwamba, UKIMWI ni hatari kwa Taifa letu. Salamu zaidi ziwafikie Waifu wangu mtarajiwa (samahanini kwa kutomtaja jina), Mwanangu mpendwa Brian pamoja hawa...
Kwa mujibu wa uchunguzi uliyofanywa na ebwanadaah, Q Jay anaifanya idadi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya waliyomrudia Mungu wao kufikia zaidi ya watano akiwemo Zedawi aliyekua katika kundi lao, Wakali Kwanza.
Pia wasanii kama Renee Ramila, K-Basil, Spuller na wengine pia waliachana na muziki wa kizazi kipya na kurudi kundini. Kwa upande wa Nuruel aliwahi kutangaza kuachana na muziki wake na kuingia wenye nyimbo za Injili lakini baadaye alitoka huko na kurudi tena kwenye Bongo Flava bila kuweka wazi sababu hasa iliyomrudisha.
Read More......Ni ngoma inayotetea haki ya mtu yoyote japokuwa nimeiandika kwenye mazingira ya kumdai mtu pesa. Wengi wakikopeshwa ni wazito kulipa mpaka mfikishane sehemu za sheria, tayari imeanza kufanya vizuri kupitia vituo vya redio na video yake ipo njiani, nimeingona kupitia Kampuni ya Visual Lab chini ya mtayarishaji Adamu Juma. Asanteni"
Kutoka ndani ya mradi wa filamu Bongo, msanii Hemed Suleiman ametangaza kuipiga chini game hiyo ishu ikiwa ni kuchoshwa na bifu zinazomuandama kila kukicha kutoka kwa wasanii wenzake ambazo zimekuwa zikimkosesha usingizi.
Akipiga stori na ebwanadaah leo, mchizi aliweka wazi kwamba tangu alipoanza kujihusisha na sanaa ya filamu akitokea kwenye muziki amekuwa hana raha na sanaa hiyo kwakuwa kila mara amekuwa akitupiwa lawama kuwa yeye ndiyo chanzo cha bifu na wasanii wengine.
"Kwa masikitiko makubwa nimeamua kuachana na sanaa ya uigizaji wa filamu ili niwe huru na kuifanya familia yangu hasa mama awe na amani kwasababu kila mara nimekuwa nikionekana mimi mbaya mbele ya wasanii wenzangu na jamii kwa ujumla, kitu ambacho kimekuwa kikininyima raha.
"Najua mashabiki wangu watasikitika kwa uamuzi huo mgumu lakini sina jinsi, nitabaki kuisapoti game hiyo nikiwa pembeni. Nitawaacha na muvi kadhaa ambazo tayari nimeshacheza lakini hazijatoka, pia kuna filamu ya mwisho ambayo natarajia kuicheza hivi karibuni kabla sijakaa pembeni rasmi kwakuwa tayari nimeshaingia mkataba na waandaaji," alisema Hemed.
Baada ya kugonga ziara za kisoka katika baadhi ya mikoa, kikosi cha kandanda cha wasanii wa muzki wa kizazi kipya wanaoishi Dar kinatarajia kushuka katika dimba la CCM Kirumba Mwanza kesho Jumamosi kwa ajili ya mechi moja ya kijanja dhini ya mastaa wa pande hizo (Mwanza All Stars).
Read More......
KARIBU SANA
JE, WEWE NI MJANJA?
UNAJUA KUDANSI?
SHOUT OUT !!
Followers
My Blog List
-
-
-
-
SIMBA SC. YAWEKA SOKONI MAJI YAKE!8 years ago
-
-
HARD PRICE COMING SOON10 years ago
-
-
-
Aslay Akifanya Vitu vyake13 years ago
-
-
-
-