Kutoka Zanzibari, msanii AT ameitosa kambi ya makapela na kuamua kumuoa msichana mwenye jina la Inah ambaye alikuwa mchumba wake wa siku nyingi. Ishu iliyodondoka hapa ebwanadaah inasema kwamba, mpango mzima wa harusi ulifanyika huko huko Zenji wiki iliyopita kisha maharusi wakajivuta mpaka pande za Mwananyamala, Dar wanakofanya maisha yao kwa sasa. Kutoka hapa, ebwanadaah tunawatakia maharusi hao maisha mema, yenye furaha.
TIA YAANZISHA KAMPASI MPYA MKOANI TANGA
11 hours ago
One Responses to "AT AVUTA JIKO ZENJI"