Balaa lilikuwa kwa MC wa shughuli hiyo ambaye alikula keki kwa mbwembwe
Juzi kati mshikaji wangu, Sule Junior 'Mtoto wa kitaa' alitimiza umri wa miaka kadhaa dunia, akaangusha bonge ya katafrija kule kwetu pande za Kawe (kama zinavyoonekana baadhi ya picha hapa ebwanadaah).
Friday, April 29, 2011
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "MTOTO WA KITAA ATIMIZA MIAKA KADHAA"