ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Baada ya pilika za Sikukuu ya Pasaka sasa mishemishe zinaendelea, kaeni tayari kwa ngoma yangu mpya baada ya hiyo ya Hadithi. Sapoti yenu muhimu sana.

Tuesday, April 26, 2011 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "MISHE MISHE ZINAENDELEA"

Write a comment