Kupitia hapa kila wiki tutakuwa tunashuka na staa wa zamani ambaye aliwahi kufanya vyema kwenye sanaa yoyote kisha kupotea. Huyu hapa ni Kali P ambaye aliwahi kukimbiza na staili yake ya kabila la Kikurya kabla hajasepa kusikojulikana. Wewe msomaji wa ebwanadaah unajua mchizi yuko wapi kwa sasa na anafanya nini? Tuambie ili wenzako pia wapate kufahamu
Friday, April 1, 2011
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "WAPI KALI P?"