Baada ya kugonga ziara za kisoka katika baadhi ya mikoa, kikosi cha kandanda cha wasanii wa muzki wa kizazi kipya wanaoishi Dar kinatarajia kushuka katika dimba la CCM Kirumba Mwanza kesho Jumamosi kwa ajili ya mechi moja ya kijanja dhini ya mastaa wa pande hizo (Mwanza All Stars).
Friday, April 1, 2011
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "BONGO FLAVA KUKIPIGA MWANZA KESHO"