Mkali wa R&B Bongo, Nuruel ameamua kurudi katika bendi yake ya zamani, B-Band inayomilikiwa na kuongozwa na msanii Banana Zorro baada ya kuondoka na kuamua kupiga ishu kimpango wake kwa takribani miaka kadhaa. Mchizi ambaye alianya vyema ndani ya ngoma ya Nzela kabla hajaondoka hivi karibuni alisema na blog hii kwamba; Nimeamua kurudi kwa Jembe langu Banana ili tundeleze game, siunajua muziki wa live ndiyo wenyewe, mashabiki wangu waje waone vitu vipya pande hizi za B-Band kila tunapokuwa".
TEMBELEA DUKA LA KIJANJA, MC VIDEO CLASSIC LILILOPO KIBAMBA (NJIAPANDA YA SHULE), DAR ES SALAAM UJIPATIE MOVIE ZA KIBONGO, COLLECTIONS MOVIES, CD ZA MUZIKI WA GOSPEL, BONGO FLAVA, VIFAA VYA SIMU, UREMBO N.K. KARIBU SANA
UNAJUA KUDANSI?
JE, WEWE NI MKALI WA KUPIGA SHOO NA HAUJUI UTAFANYA NINI?. NJOO UJIUNGE NA BADUGU DANCES. CHEKI NA SISI 0715 110 173, 0787 110 173 , 0717-340387. TIMIZA NDOTO ZAKO.
One Responses to "NURUEL ARUDI KWA BANANA"