"Hi Tanzania, naitwa Abelnego Damian a.k.a Belle 9, nawakilisha Moro. Nilipe nisepe iliyofanyika ndani ya studio za Masanjuo Records chini ya producer Mona Gangstar ni ngoma yangu ya kwanza kuachia kutoka ndani ya albamu yangu ya pili yenye jina la Vitamin Music.
Ni ngoma inayotetea haki ya mtu yoyote japokuwa nimeiandika kwenye mazingira ya kumdai mtu pesa. Wengi wakikopeshwa ni wazito kulipa mpaka mfikishane sehemu za sheria, tayari imeanza kufanya vizuri kupitia vituo vya redio na video yake ipo njiani, nimeingona kupitia Kampuni ya Visual Lab chini ya mtayarishaji Adamu Juma. Asanteni"

Saturday, April 2, 2011
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "UJIO MPYA WA BELLE 9"